Giza la September | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Giza la September

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bontowar, Mar 29, 2009.

 1. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hili giza analosema Ngeleja kuwa litakuwa ni lazima nahitaji za ndanili zaidi
  kuana nini au na yeye anataka kuwa kama Mr Dowans tuchimbieni za ndani zaidi
   
 2. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unawezakukuta huyu jamaa ana masters! bongo bwana
   
 3. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  yeye ni mwanasheria - na umeme wapi na wapi --
   
 4. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 798
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimesoma mara ya 3, na bado sijaelewa kitu. Wenzangu mnazungumzia kitu gani?, hebu tumieni kiswahili cha kawaida.
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2009
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,788
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Nani alikuambia kuwa hapa BONGO profession zaheshimiwa ili kupangiwa kazi: mfano Prof Sarungi (mtaalamu wa mifupa)=Waziri wa mawasiliano wakati wa Mwinyi; Bet Mkwasa (msoma taarifa ya habari)=Mkuu wa Wilaya wakati wa Lowassa; Prof Kapuya (mtaalamu wa Elimu)=Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira. Hata Tanzania mtu unapelekwa / unapangiwa kokote ukiweza sawa, ukishindwa poa, unahamishwahamishwa na kupatya posho za uhamisho, bora liende.....
   
 6. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2009
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,788
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  Shy, nani alikuambia kuwa hapa BONGO profession zaheshimiwa ili kupangiwa kazi, kalagabaho!!!Kuna mifano mingi tu ya mipangilio isiyojali profession, mfano Prof Sarungi (mtaalamu wa mifupa)=Waziri wa mawasiliano wakati wa Mwinyi; Bet Mkwasa (msoma taarifa ya habari)=Mkuu wa Wilaya wakati wa Lowassa; Prof Kapuya (mtaalamu wa Elimu)=Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira. Hata Tanzania mtu unapelekwa / unapangiwa kokote ukiweza sawa, ukishindwa poa, unahamishwahamishwa na kupatya posho za uhamisho, bora liende.....
   
 7. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2009
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 798
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kumbe anazungumziwa mtu, na hili giza linalotajwa lina maana gani?
   
 8. F

  Faraja77 Member

  #8
  Mar 29, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hatutafanya utaratibu wa kutenganisha siasa na utaalamu tutaendelea kuumia tu.
   
 9. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Wewe mara tatu mimi mpaka sasa sijaelewa kilichokusudiwa kuandikwa na mtoa mada ,mwanzo nilifikiri ni mtoto anaejifundisha kusema ,nikaona asingeweza kuandika nikamalizia kuwa ameandika kilugha ,ila sijapa ni kabila gani :D
  Wengine wanasema tembea uone mambu lakini naona hata ukijiunga kwenye forums utaona maajabu :D
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Shedafa na Mwiba, naungana na nyie mana kila niliposoma sikuelewa zaidi ya mara tatu mpaka nikangoja watu wachangie lakini ndo kabisaa mchanganyiko zaidi..
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Nafikiri tusaidianeni kuiweka sawa ile mistari kama tutaweza mambo mengine mtihani.
   
 12. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,708
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145


  sio lazima mtu awe amesomea hicho kitu ndio aweze kuongoza, anachotakiwa awe kiongozi mzuri anayejua public policy na awe anaipenda nchi yake
  1. gordon brown alikua waziri wa fendha mzuri na alikua amesomea history...
  2. waziri wa fedha sasa hivi wa uk ni lawyer
  3. waziri wa afya si daktari

  hata apa uk ukimaliza degree ya kitu kingine unaweza kuajiriwa maswala mengine. engineer akawa banker. watu wengi ambao wanafanya kwenye hedge fund ni ma engineer backround yao.

  matatizo ya ngeleja sio utaalamu bali ni rushwa, dowans ni wizi na sio utaalamu
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Labda alikusudia :- Hili giza analosema Ngeleja kuwa litakuwa ni lazima , nahitaji (habari) za ndanili (ndani) zaidi
  kuana nini kuamini au na yeye anataka kuwa kama Mr Dowans tuchimbieni za ndani zaidi ____________Nafikiri nimeiweka sawa maana sikuwahi kufeli somo la kiswahili.
   
 14. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Lazima ikikapo mwezi wa 9
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,645
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 280
  Pengine hivi!

  Still it does not easily make sense! Inaelekea wengine tunaingia jamvini tayari tukiwa 'chicha':)!
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Unajua mtoto wa darasa la tano anaweza akakuwekea sawa hiyo sentenso lakini hapa JF si ajabu wengine wakakuambia ameandika sawasawa na watu wamejadili na kuendelea na mjadala ! Na ushahidi wakaweka kabisa kuwa kijana hana kosa.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  Mkuu; sentensi imekaa kichina-china... halafu nashangaa mods wameiacha! duh!!!
   
 18. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Ni bora akaiachia inachangamsha akili ,yaani jamaa wengine wanakuja hapa kutoa mitihani ,si kunasifika kuna wasomi na mapro wa luga ,hicho kindende sasa kinahitaji mbinde maana ukijua ngendembwe utakutana na ngalambe :D tunachangamsha akili baada ya kuona Chadema ni ndumila kuwili :D ingawa wanajaribu kujipapatua. Ila kwa kuongezea tu pingine moderator nae yuko katika kuiweka sawa ni moja kati ya kuweka sawa mambo sasa hapa sio jamaa ameteleza mikono bali na control pia inaonekana haipo
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  Mzee nimekusoma upande wa kwanza, ila hilo la chadema sina kauli kwani na yenyewe yaweza kuwa tungo tata

  turudi kwenye mada, huyo jamaa anasema nini kuhusu giza la septemba?
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 160
  Itabidi mamoderator wakusanyane ili kutuwekea sawa ,inaelekea jamaa ametumia msamiati au lahaja au kiswahili cha zamani ,huwezi kujua na hajulikani alipo kapotea kama dereva wa bajaji :D
   
Loading...