Business Partner

Antlog

Member
Feb 15, 2011
11
0
Hi!
Natafuta business partner, mwenye uzoefu na mambo ya madini. kama unao please pm me then tutaongea zaidi
 
Ant log unadhani nani mjinga wa hivyo ingali unatafuta mtu mwenye ngawira umtumie vijana wa kazi???
 
What do you mean? So means akinipm nitamtumia vijana wa kazi. That is very poor thought of you
 
Kuchimba coz tuna shamba linayo madini ila sisi hatuna uzoefu kwa kweli. So tunahitaji mtu wa kuwa naye partneship tuchimbe
 
Hayo madini ni mali ya serikali sio ya kwako hata kama yapo ndani ya eneo lako

Hiyo ndo sheria ya Ardhi ya Tanzania
 
madini ya aina gani,weka wazi ,utaweza kuletewa mtu,pia highlight location ya eneo.
Je utaweza kudeal na wachina?
Kuchimba coz tuna shamba linayo madini ila sisi hatuna uzoefu kwa kweli. So tunahitaji mtu wa kuwa naye partneship tuchimbe
 
just let me know what kind and if got Licenses for your plots. Location matters most, got all bunch of guys out there would love to invest but not in every MADINI!!
 
huyu ana ardhi siyo madini, nani kafanya utafiti na kujua kwamba kuna madini hapo? na nani kathibitisha, fanya kwanza utafiti na njoo na physical documentation zinazothibitisha kuwa kuna madini, usiwe umeona udongo unaomeremeta ukasema kuna madini.
 
Back
Top Bottom