Kwanini VODACOM NA CLOUDS FM wamefunga ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini VODACOM NA CLOUDS FM wamefunga ndoa?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Feb 17, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukisikiliza matangazo mengi ya Clouds fm wanashirikiana na VOdacom kutangaza mabomu ya gongo la mboto

  Naona makucha yaliyokuwa yamejificha ndo yanatoka sasa mchawi wenu mfaziri wa hawa wahuni ndo huyo kaamua kutoa makucha yake.


  Kumbe nimejua kwanini clouds imeanzishwa under RA:embarrassed:
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  So?
   
 4. S

  SURNAME Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukisikiliza matangazo mengi ya Clouds fm wanashirikiana na VOdacom kutangaza mabomu ya gongo la mboto

  Naona makucha yaliyokuwa yamejificha ndo yanatoka sasa mchawi wenu mfaziri wa hawa wahuni ndo huyo kaamua kutoa makucha yake.


  Kumbe nimejua kwanini clouds imeanzishwa under RA
  :embarrassed:


  Lengo hapa ni kusaidia jamii,hakuna lolote.Vodacom wanakitengo cha kuhudumia jamii na kimekuwa mstari wa mbele kusaidia jamii,limetokea jambo kubwa kunaubaya gani kushirikia na radio ambayo imeonesha kuwa karibu na jamii.Binafsi nachukia sana kuhusisha mambo muhimu na siasa au chuki binafsi,kwahiyo mtoa hoja unatak ndugu zetu wafe na njaa?
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Vodacom wanasaidia jamii hadi NECTA!!!!
   
 6. S

  SURNAME Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vodacom wanasaidia jamii hadi NECTA!!!!

  Mtoa hoja mbona haujaeleweka??
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,020
  Likes Received: 8,502
  Trophy Points: 280
  Mtu anaongea utumbo bado wauliza haeleweki.
  Wajama siö lazima kuanzisha topic kama huna logic
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi na nyie muwe mnafikiria kwanza cha kuandika sio mnakurupuka tu bana
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ...sasa wasitoe misaada wewe vipi
   
Loading...