Precission air mnazindua safari za bukoba mpaka lini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air mnazindua safari za bukoba mpaka lini??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Feb 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  KILA SIKU MNAZINDUA MNAACHA KURUKA MNAZINDUA MNAACHA KURUKA SASSA HIZI UZINDUZI AMWONI UPOTEVU WA PESA NA KAMA AMWAMININENDENI MKAULIZE BAJETI ILIOTUMIKA NA RISITI ZAKE
  BURIAN
   
 2. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  uzinduzi is part of marketing

  hii route inatakiwa ipewe jina la kule Kagera ili iwapate watu wa kagera

  I hope mtaalamu wa Branding wa PrecisionAir atakuwa amenipata. Bila strategic marketing itaishia hivi hivi tu

  Big Up to PrecisionAir :clap2:

  Wakagera mpo?
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Wakuu Precission Air imetua juzi Jumapili Kagera, Auric Air ulimi nje siku ya kwanza tu wameanza kucancel flight ndo ushindani huo na soon 540 wanakuja
   
 4. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  afadhali maaana Auric walikuwa wanaua, MWANZA - BUKOBA- Mwanza walikuwa wanacharge 250,000 return.

  FLY540 ikienda BUkoba nadhani ndo itakuwa funga mwaka..
   
Loading...