Road toll

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Hii kitu road toll naikia siku nyingi kwamba tunakatwa katika kila lita ya ya petrol na diesel ili kuimarisha mfuko wa ujenzi na ukarabati wa barabara,japo kuna makato mengine mengi hapo yanayoenda TPDC,Mfuko wa ku-stabilize Price windfall nk lakini mimi nauliza sisi watumia mitambo mingine isiyopita barabarani,ie Generators,machine za ujenzi,meli,boats,vivuko na treni inakuwaje tulipe hiyo kodi?
Nimeshangaa kuona bei ya petrol zambia ni ndogo kuliko tz na mafuta tunapitisha hapa kwa TAZAMA,TAZARA na TANZAM
au ndio ule msemo wa utake ustake lazima iwe?
Nawasilisha mezani
 
Na bado unatacheza sana Muziki kama AVATAR yako.
ni kweli mkuu hizi kodi hata sizielewi. Zinasababisha kila siku bidhaa zinapanda bei kisa MAFUTA na UMEME vipo juu hivyo usafirishaji na uzalishaji umepanda
 
Back
Top Bottom