Mtaalamu wa milango na madirisha (house finishing) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaalamu wa milango na madirisha (house finishing)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by bwegebwege, Feb 10, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wana JF! Mtaniwia radhi kama naleta hoja mahali pasipofaa, ila nahitaji msaada.

  Tunatafuta mtaalamu wa ukweli kufanya finishing (carpentry works) ya nyumba kubwa ya vyumba vitano including Master bedroom, Living room, Kitchen, Laundry and storage room. Kazi anayotakiwa kuifanya ni kuchonga kuweka frames za milango na madirisha of high standards (mbao nzuri na kazi ya kiwango cha juu). Kazi inatarajia kuanza mwishoni mwa mwezi March. Kama kuna mwana JF anayefahamu mtaalamu yeyote naomba contactsÂ…..awe tayari kuonyesh akazi alizokwisha fanya

  Nawasilisha
   
 2. m

  manyusi JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Call 0713876210
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  call 0784935583
   
 4. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  tunaweza kazi yako vizuri kabisa na utaipenda wewe mwenyewe, n u will enjoy working with us... If u r intrested really, jst pm me
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu ,unaweza kupata milango ktk standard ya milango ya 5 star hotels ,eg. Sea cliff/kilimanjaro etc
  Fundi yupo siyo msumbufu aliniafanyia kazi nzuri sana,Tatizo ni Bei tu,Frame alicharge 155,000.Top ya mlango ni 230,000 so mlango mmoja uligharimu 385,000 na kitasa 65,000 and bawaba 60,000 inakuja around laki 490,000 per mlango.Kwakweli ukishapachikwa unaweza kuwa unauangalia like a work of Art. hawa jamaa wapo kinondoni near bp ya mwanamboka,they are buisy throughout the year.ukiona watakufaa let me know jamaa anaitwa Malisa.
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu huyu fundi wako anatumia mti gani? Maana nilikutana na fundi mmoja mahali yeye anatumia Mkongo na gharama ya mlango mmoja (double door ni Tshs 450,000) na single ni chini ya hapo. Kazi yake niliipenda kwa kweli. Ila pia alisema kama kazi ni kubwa (yaani milango ni mingi) bei inaweza kupungua.
   
 7. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ushauri tu wa bure ili kusave garama
  tofautisha kati ya mlango wa nje( main door) na wa ndani(vyumbani).
  mlango wa ndani unaweza ukawa mwepesi na bei rahisi hii itakupunguzia garama
  mlango wa nje ndio kama unavyoelewa
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hii thread bado ipo live,nilidhani ilishafungwa,
  jamaaa anatumia mbao nzuri(like mnninga)wapo kinondoni kwa manyanya,karibu na baa ya casablanca,ukiuliza seremala workshop ya akina malisa/wachaga, utapelekwa hata na mtoto mdogo,
  their number one priority is Quality,Quality and Quality. siwafagilii bure kwani nimewatumia kwa kazi nyingi.
  tatizo lao moja tu,
  Wana Bei Juu kulinganisha na mafundi seremala wengine
   
 9. a

  atlwindows Member

  #9
  Apr 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari mkuu ?

  If you need PVC Windows (solution for your SLIDING WINDOWS and DOORS)
  (Similar to England they use mostly of white colour)

  send email for quote
  info@aqeel.co.tz
   
Loading...