Vodacom acheni uhuni wenu..............sitaki sms zenu mnikome....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...WanaJF siku za karibuni nimekuwa napata sms nyingi toka VODACOM zinazobeba ujumbe ufuatao..."Wewe ni.....? umepewa namba ya siri SC1 na umechaguliwa kushiriki droo leo usiku ya kushindania Tshs Mil 3 tuma neno pesa kwenda 15544 ushinde kila sms ni Tshs 550" unajua hawa jamaa ni matapeli kweli,nilidhani mara ya kwanza tupo labda watu mia hivi kwenye droo..kumbe wanawatumia almost wateja wao wote...huu ni utapeli sitaki sms zenu VODACOM...........
 
poa sana ndugu in short sms zote za mitandao ya simu we zifute tu au zi hide..
 
Sa si ndo biashara jameni, watazipata vipi hizo heller zenu. Bahati nzuri si wamewaambia kabisa kuwa nauli ni 550?
 
Back
Top Bottom