Zantel msipojirekebisha natupa ama kuchakachua modem yenu

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,342
Haiwezekani ninunue 500 MB juma pili leo juma nne ziwe zimeisha huu ni WIZI,au rate yenu mnakata vipi? msiniforce niwachakachue ili nitumie bure ninaweza kufanya hivyo ila niliheshimu huduma yenu inabidi na nyie mtuheshimu la sivyo nawachakachua...........
 
Mwanangu tuchakachue tu coz na mimi wanakula hela zangu kinoma. Kama waweza nielekeze hiyo mbinu nichakachue.
 
Ndugu Mirindimo, jee umedownload vitu gani? mfano, ukidownload movies kwenye youtube, muziki au ukiwa laptop yako umeiweka kwenye automatic updates halafu ikaanza kudownload zile files, basi hapo utakuwa umeliwa kwa haki.

Kwa akina sisi hiyo 500 MB siyo kitu cha maana kwa vile siku moja tu itakwisha kutokana na wingi wa files tunazodownload na kuupload.
 
Haiwezekani ninunue 500 MB juma pili leo juma nne ziwe zimeisha huu ni WIZI,au rate yenu mnakata vipi? msiniforce niwachakachue ili nitumie bure ninaweza kufanya hivyo ila niliheshimu huduma yenu inabidi na nyie mtuheshimu la sivyo nawachakachua...........

Mkuu hawa watu siyo wa kuhurumia wala kuheshimu sijui kitu gani! Tuwachakachue tu Mkuu mimi nimeshindwa kuendelea kutumia modem ya VODA yaani nikiweka vihela vyangu kabla hata sijafanikiwa kuingia kwenye mail zangu fedha kwishney sasa tufanyeje jamani? Yaani mpaka natamani kukitupa hicho kidude chao maana ku-login kwenyewe inachukua mwaka sasa modem gani hiyo wakuu? TUCHAKACHUE MKUU!
 
Naunga mkono hoja...................wanaJF mwanzoni nilikuwa na modem ya VODA,hawa jamaa ni noma yaani wanakula hela kishenzi...nikadhani ZANTEL itakuwa nafuu kwenda kuulizia price zao hakuna tofauti na VODA my be speed sijajua ikoje maana niliahirisha kununua...Baada ya kuona hivyo nimenunua ya AIRTEL atleast mambo si mabaya nachat vya kutosha hapa JF.................
 
Zantel wanaboa kinoma eti ukinunua bundle na ukiimaliza kabla ya expire date hakuna kurolled back ili ujiunge na bundle ingine. Now nafanya upembuzi yakinifu about TTCL
 
ingieni malipo ya mwezi-buku 30 voda-utatumia bila wasiwasi,ku-upload,download n.k
mtindo wa bundle mimi ulinifanya vibaya-ikabidi nigawe modem yangu ya zantel kwa mtu kama zawadi-baada yakuona sitawezana nao
 
Zantel wanaboa kinoma eti ukinunua bundle na ukiimaliza kabla ya expire date hakuna kurolled back ili ujiunge na bundle ingine. Now nafanya upembuzi yakinifu about TTCL

Ukisha maliza upembuzi tujulise wenzio
 
Huduma za Zantel kweli siyo za kuridhisha. Nimewasikia wateja wa Mjini Kigoma wakisema kuwa wametapeliwa kununua modemu zao kwa bei ya promo wakati hakuna mtandao wa internet!Modemu hizo sasa ni mapambo tu!
 
du wanapaswa warudishe wapewe pesa zao period
 
Back
Top Bottom