Ya lukuvi na open spaces - hongera mkuu wa mkoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya lukuvi na open spaces - hongera mkuu wa mkoa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TIMING, Jun 18, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wakuu nalazimika kupongeza hatua ya awali ya lukuvi kuhusu open spaces [dar es salaam].... pia napongeza sana hatua ya kusimamisha baadhi ya watendaji

  sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa open spaces na maeneo yoyote yanayomilikiwa isivyo halali

  Mwenge kijijini ---- hali ni mbaya
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dah... seems like a thousand year ago when Lukuvi was seriously attacking land grabbers... little did he know that his efforts were short lived
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Utendaji wa Lukuvi kwa Dar ulikuwa wa vitendo and commendable sema tu alikosa ushirikiano na wakubwa wanzie. Kwamfano manesi wengi wa Mwananyamala walihamishiwa Mtwara na kwingineko na watumishi wa ardhi wa Kinondoni, Temeke na Ilala walisimamishwa kazi kwasababu ya urasimu, rushwa na utapeli wao.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Mkuu.. Dar in Mengi sana, na mfano uliotoa ni sawa kabisa... sasa je Ukiwa RC na watendaji wakaleta za kuleta, bado utakua successful?
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,501
  Trophy Points: 280
  Kituo
  sehemu kilipojengwa kituo cha mafuta cha BIg Bon Mori Sinza na eneo la nyuma ya kituo hicho ambako kunaporomoshwa ghorofa la kufa mtu vyote mali ya Big Bon
   
Loading...