Utoaji wa leseni mpya umegeuzwa mradi kwa polisi na tra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utoaji wa leseni mpya umegeuzwa mradi kwa polisi na tra

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jarid x, Apr 11, 2011.

 1. J

  Jarid x New Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi watanzania tutaendelea lini?ni lini njaa na tamaa zitatuishia?sasaivi zimekuja leseni mpya,walisema ya kwamba hizo leseni hazita tolewa kizembe na kwawale waliopata leseni kiuwizi wasahau tena vya denzo denzo,lakin sasa mambo ni tofauti we toa pesa kwanza unapata leseni alaf gari utajifunza badae,haya ni mambo yanayo endelea huko tra na polisi,vilevile polisi wanao hoji maswali wana uliza maswali magum ili mtu ufeli alaf utoe hela.......tra watakuuliza cheti cha driving school na kama hauna basi unatoa shilingi elfu kumi tu na mchakato unaendelea,hivi kwa hayo mambo tuna dhani ajari zitaisha?na tanzania bila rushwa haiwezekani.....nimeandika mambo niliyo ya ona na sio kusimuliwa,,tu tafakari
  :mmph::mmph::mmph::mmph:
   
 2. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndiyo nchi yetu, siku hizi mpaka wanafunzi wanajua kwamba ukitaka kitu kwenye taasisi mbalimbali mpaka utoe pesa.Unadhani rushwa itaisha.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nchi ya k2 kdogo hapo dili kama kawa
   
Loading...