Kiwanja Kinauzwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Kinauzwa?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wapalepale, Apr 13, 2011.

 1. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  samahani wa jf. namba kama kuna mtu anataarifa za kiwanja kinachouzwa maeno ya tabata segerea.. nahitaji nisaidieni
   
 2. S

  Speedo Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Tafadhali taja ukubwa unaohitaji na uwezo/bajeti yako itasaidia. ninavyo viwanja ila sina mpango wa kuviuza - ukitaja ukubwa na uwezo wako naweza shawishika kuuza.
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  kama 1/2 hekt au 1hekt.. isizidi milion 12.
   
Loading...