Wana jf nataka kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula naombeni wazoefu mnipe hints | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf nataka kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula naombeni wazoefu mnipe hints

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Jun 12, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Na hitaji kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula huku Arusha nilikua naomba ushauri wa wazoefu wa hii biashara. Nitashukuru sana wana JF
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi sio mzoefu ila cha msingi ni upate wapishi wazuri na wahudumu wawe wamechangamka. Ukubali kumwaga chakula pale inapobidi (hasara). Bei itategemea na wateja uliolenga ila unaweza kuwa na bei tofauti tofauti kutokana na aina chakula. Usafi ni muhimu sana kwenye mgahawa wako.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  asante sana mkuu nimekupata hapo.
   
Loading...