Radio radio radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio radio radio

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Jun 12, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari yako msomaji.
  Home Radio Ministry inakuletea huduma zifuatazo:-
  1. Tunasaidia radio mpya zinazoanzishwa kwa kuandaa vipindi vya nguvu, programming ya wafanyakazi kupewa mafunzo.
  2. Tunaandaa schedule ikiwa na vipindi kamili pia tunaadaa program proposal zake.
  3. Tunaadaa vipindi, matangazo ya biashara, jingles nk.
  5. Tunatoa mafunzo ya kutumia software za radio kama, Google Radio automation system, Tune tracker Radio automation, Virtual DJ, BPM Studio, Adobe audition kwa ajili ya production, nk.
  6. Tunafanya kazi zote za radio production.
  7. Tunatoa mbinu za ubunifu katika kuingiza kipato cha radio yako.

  Ni kwa radio yoyote iwe ya kidini au kawaida. Wasiliana nasi: radioproducer@rediff.com

  Download huu mfano wa schedule tunazotengeneza: Usiutumie kwa radio yako una hati miliki!
  View attachment New schedule.xls View attachment New schedule.xls
   
 2. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks Radio Producer, try to check your email plz
   
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Ok, you will be replayed tommorow due to the network connection!
   
Loading...