Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Sasa unaweza kutuma sms kwa watu wengi kwa rahisi kutumia huduma za kampuni mpya ya technologia Bongo Live! Wasiliana na wateja wako, kumbusha watu kwa ajili ya malipo, tuma offa za bidhaa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zinaniboa, yaani Watanzania wamekosa vitu vya kufanya sasa wanafikiria wizi tu. Sinema moja kuwa na Part 1 na Part 2 ni wizi, tusikubali kuibiwa, tuache kununua kazi zao hadi hapo watakapo...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwa Takwimu zilizotolewa jana zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza AFRICA, na ni nchi ya kumi DUNIANI inayotegemea misaada toka kwa wahisani, na kasi ya kutegemea wahisani inazidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uchumi Supermarket has announced plans to enter the Tanzanian market and increase it's footprint in Kenya and Uganda. In a new expansion push that the management says will be executed differently...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nigekuwa mkuu wa wapenda amani wa tanzania nigefanya maamuzi magumu ifuatavyo:wafanya biashara wote wakubwa lazima walime ekari zisizopungua 20 za mazao ya biashara kwa kila mkoa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uswahili ni kwetu kuna wawekezaji kutoka china. Jamaa ni balaa wanaharibu miundo mbinu ya kimasikini tuliyo nayo ile mbaya kwani wanapitisha yale maroli yanayobeba macointainer bila huruma na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jf..naomba yoyote anaefahamu ni jinsi gani naeza kununua bando la internet ya zantel...na kuituma kwenye namba yangu ya moderm ya zantel. nimejaribu kuwapigia zantel bt hawapokei.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
helllo everyone, kila wakati nimekuwa nikiwaza na kujiuliza maswali ninapofika Mlimani City.. hivi kwa nini designer wa jengo hili hakuifanya hiyo shopping mall kuwa ya ghorofa angalau mbili au...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuhusu hali ya kifedha ya Shirika la Ndege la Taifa la ATC, Mataka alisema, lina hali mbaya kwani anaondoka na kuliacha likiwa halina hata ndege moja inayofanya safari zake. Kwa mtaji huu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello JF members and visitors, My friend asked me for advice on buying a Car. Thinking of price, comfort, and withstanding Tanzania roads Please indicate Car importing Companies...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Mi ni mjasiriamali, project yangu inahitaji milioni 2, tayari nina milioni 1 na nusu.Wapi naweza pata mkopo wa laki 5 za haraka kwa muda wa mwezi mmoja?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je, unaishi Dar es Salaam? Tafadhali, tumia dakika mbili tu ya muda wako kujaza hii dodoso and make a difference! Electricity Monitoring in Dar es Salaam:Tufuatilie Pamoja Thomas David
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani lakini kwa vile nimeleta mada ya kitoto, lkn ningependa kufahamu gari ambalo dereva akiliendesha huwa anafeel utamu kuendesha gari, sasa ni gari gani wewe kwa uzoefu wako unahisi ni tamu...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
jamaa waizi sana hasa kwenye huduma ya internet ukinunua bundle zao au ukisurf hata bila kuunga jamaa wanakwangua sana hi nimeigundua toka juzi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nataka desk top kwa wale wanao enda ulaya waniuzie kwa bei ya jumla ili na mimi niweze kufanya bizns .au kwa yeyote anaejua wapi ntapat tafadhali anielekeze.asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kweli kunatofauti kati ya TIGO RUSHA na TIGO YA KAWAIDA YA KUKWARUZA kwenye matumiz? Nimejaribu fanya kauchunguzi kidogo nimeona kuna tofauti. Tigo ya kurushiwa inaisha haraka unapo ongea...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
http://www.themegawealth.net/ 7 x 7 Forced Matrix with Tons of Spillover INCOME This is a proven system THAT WORKS... The Mega Wealth will never ask any member for more money than what is...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
WanaJF, nimemsikiliza Msemaji wa TANESCO, Bi. Badra Masoud akihojiwa na mtangazaji wa TBC1 Bwana Marin Hassan Marin kwenye kipindi cha Jambo Tanzania asubuhi hii. Nimeshangaa kumsikia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
HELLO WE NEED PRADO TX OR TZ LIMITED WE DON'T LIKE BROKERS. WE WANT TO TALK TO CAR OWNERS. PLEASE SEND PICTURES OF DARSH BOARD,SIDE OF CAR, HIND AND FRONT KMS ODOMETER YEAR OF...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom