Barclays Bank Hongereni kwa hili, SCB igeni mfano

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hivi karibuni nilipoteza wallet ikiwa na ATM cards zangu za Benki za Standard Chartered na Barclays, nikaenda polisi kuchukua loss report na kupeleka katika hizi Bank for replacing of the cards. Barclays Bank walinipatia new ATM card within 30minutes wakati SCB watanipatia within 10 working days...Hongereni sana Barclays, SCB na mabenki mengine igeni... Huduma kwa wateja ni kiungo muhimu sana kwa maendeleo ya Bank.
 
Ila wanariba kali. Wamekuja kuwajali mafisadi.
Fisadi wa kwanza ni yule ambae kila kitu anaona ni ufisadi tu. Hata biashara za watu zilizo halali kwa sheria za nchi, yeye huona ni ufisadi tu. Watu kama wewe huwa wachawi na hakuna ufisadi zaidi ya huo.
 
NMB huku mikoani ni balaa! Nimefungua akaunti yangu mwezi April mwaka huu na kufahamishwa kuwa ATM card ningepewa baada ya mwezi mmoja. Nimeenda mwanzoni mwa June, nimeambiwa card bado haijafika nisubiri. Hii ndiyo karne ya sayansi na tekelinalokujia!
 
Ukiachilia mbali kwenye huduma zingine, jamaa wa Barclays kwa mambo yanayohusiana na atm card zao wapo sharp sana. Ingekuwa CRDB ndio ungesubiri si chini ya wiki 3.
 
NMB huku mikoani ni balaa! Nimefungua akaunti yangu mwezi April mwaka huu na kufahamishwa kuwa ATM card ningepewa baada ya mwezi mmoja. Nimeenda mwanzoni mwa June, nimeambiwa card bado haijafika nisubiri. Hii ndiyo karne ya sayansi na tekelinalokujia!

Usinikumbushe experience ya NMB! Hii bank sijui kama wana customer care department! nilipoteza card yangu ya ATM nillipata after like 4months pata picha nilikuwa napanga foleni kuchukua hela ya mshahara! nilivyoipata tu ile card in weeks ikagoma kusoma kwenye ATM! nilivyokuwa nafikiria ile adha ya kuipata niliishiwa nguvu, nikaenda kuwaambia haisomi yule niliyemkuta ndo aliyenipa ile ile card alisemesha vibaya eti now cha moto utakiona coz umeweka sijui kwenye wallet imechubuka! nilienda counter na kudraw every thing na kuacha salio la ac tu sijarudi huko tena! bank zingine!
 
Fisadi wa kwanza ni yule ambae kila kitu anaona ni ufisadi tu. Hata biashara za watu zilizo halali kwa sheria za nchi, yeye huona ni ufisadi tu. Watu kama wewe huwa wachawi na hakuna ufisadi zaidi ya huo.
SOMALIA.jpg
 
Usinikumbushe experience ya NMB! Hii bank sijui kama wana customer care department! nilipoteza card yangu ya ATM nillipata after like 4months pata picha nilikuwa napanga foleni kuchukua hela ya mshahara! nilivyoipata tu ile card in weeks ikagoma kusoma kwenye ATM! nilivyokuwa nafikiria ile adha ya kuipata niliishiwa nguvu, nikaenda kuwaambia haisomi yule niliyemkuta ndo aliyenipa ile ile card alisemesha vibaya eti now cha moto utakiona coz umeweka sijui kwenye wallet imechubuka! nilienda counter na kudraw every thing na kuacha salio la ac tu sijarudi huko tena! bank zingine!
Karibu CRDB,a bank that listens
 
Karibu CRDB,a bank that listens

mkuu... heshima kwanza

hapo kwenu ni wagumu sana kutoa mikopo .. pamoja na kuwa na security na bankable business plan .... je mna product ya project financing
 
Barclays wako poa kwenye service zao but CRDB ni issue kureplace ATM Card kwani huchukuwa hadi mwezi kupata card.big up Barclays!!!
 
Back
Top Bottom