Chinese cheap goods - End is near!

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302
Kuna huyu bwana Bruce Rockowitz. ni exporter mzuri wa biashara za ubwete za Mchina, yeye ameashiria kumalizia hii biashara ubwete kutokana na mabadiliko ya kimaisha kusini mwa China, sehemu ambayo asilimia kubwa ya hizi bidhaa zinatengenezwa.
Sababu alizosema ni pamoja na uzalishaji kuwa ghali kutokana na mabadiliko ya kisiasa yaliyopelekea 'cheap labours' kudai mishahara mikubwa na huko kupelekea vitu kupanda bei, tofauti na miaka 30 iliyopita.
Wenye viwanda kusini mwa China wangeweza kuhamia pande nyengine za China, ama nchi nyengine za Asia na Afrika lakini itawawia ghali zaidi kutokana na mishahara kuwa juu ama ugumu wa Logistics
Zaidi soma hii article:
Chinese manufacturers: The end of cheap goods? | The Economist
 
Back
Top Bottom