Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

msaada kwa yeyote anayeweza kunipa maelekezo namna ambavyo nitaweza. 1..kutengeneza matangazo na kuyaweka katika blog yangu 2..kupata sponsors katika blog yangu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye ile kampuni yetu pendwa ya usafiri wa Dar - Arusha kwa bei ghali inachungulia kaburi. DAR EXPRESS wamechoka! Nadhani SCANDNAVIA EXPRESS ameanza kumuita rafiki yake huko mautini aliko! Ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau, biashara ya Mult-level marketing naomba ufafanuzi kwa yeyote anayejua hii kitu plz
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Napendekeza Sumatra wasikubali viwango vipya vya bandari! MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), ambayo imeanzishwa kulingana na sheria ya bandari namba 17 ya mwaka 2004 ambayo pamoja na mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I am kindly requesting your permission to join this platform. Nina shida naomba msaada wenu wana JF . Where can i find this Firm in Dar es Salaam The Credit and Risk Solutions Bureau (Firm)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu Mimi ni kijana wakiume kwa sasa Shughuli yangu ni usindikaji vinywaji vyenye vileo ( pombe). Katika biashara yangu hii changamoto kubwa ambayo naipata ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Temeke Amani Gomvu, ni umbali wa km 24 kutoka feri ya kigamboni ni mbele ya gezaulole. kipo umbali wa kutosha kutoka baharini ( hakipo kwenye eneo la hatari) kimepimwa na kina hati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo...
0 Reactions
170 Replies
21K Views
Jamani NMB bank hivi hizi ATM zao kutoa noti za elfu 10 tu tatizo ni teknologia yao au ni uhuni tu,halafu sijawahi kusikia wakitolea maelezo swala. Mara nyingi miamala yangu inanitaka nitoe na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nina mdogo wangu anafungua duka dogo (Mini Super Market) anaomba kujua utaratibu wakupata jokovu la kampuni ya Coca - Cola je aanzie wapi? Najua hapa nikisima cha hekima kwa wale wajasiria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi habrini. Kuna jamaa ni ofisa mkubwa serikalini, sasa katika pitapita zangu, nimeifuma barua yake, akimwandikia katibu mkuu wake ili amwidhinishie aingize gari free bila kulipia zile...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaani kipindi hicho dola haikuwa na thamani saana!. Linganisha na nauli za sasa na thamani ya dola ni kama (USD 0.20 =TSH3OO) kama sijakosea. Nilitaka niwakumbushe tu enzi za Mwalimu.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama ufuta, alizeti, mahindi, mtama, uele na viazi vitamu yanapatikana Kiwangwa. Bei ni TZS250,000/= kwa ekari. Unaweza kupata kiasi chochote...
2 Reactions
28 Replies
10K Views
Salam Wakuu, Naomba msaada wa procedure au consultancy mtu anisaidie kupata cheti cha NGO kwa ajili ya kampuni ambayo imesajiliwa BRELA kama Limited by Guarantee. Kwa vile shughuli za kampuni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
The Sweet Truth about Sweet Potato Production in Louisiana - YouTube
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi nawashangaa vodacom. Waliwahi sana kuanzisha huduma za mpesa na waka-train mawakala nchi nzima kwa gharama kubwa. Sasa ilikuwakuwaje wakaruhusu kampuni zingine za mitandao kutumia mawakala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani, nataka kumnunulia mdogo wangu gari ndogo TOYOTA SUCCEED, mafuta nimeona inatumia kidogo sana, naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu....kuhusu spare parts kwa hapa dsm, kwa vigari kama hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu wanajamvi. Siku za karibuni kumekuwepo wizi wa kutisha kwenye mabenki kutumia mitandao. Lakini inaonekana benki zetu hawajachukua tahadhari ya kutosha na bado haijulikani liability inakuwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi and Rwanda could soon have a common currency to make it easier to transact business within the region with the latest round of talks for its implementation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom