Jokofu La Kampuni ya Coca - Cola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jokofu La Kampuni ya Coca - Cola

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndallo, Jul 31, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wakuu nina mdogo wangu anafungua duka dogo (Mini Super Market) anaomba kujua utaratibu wakupata jokovu la kampuni ya Coca - Cola je aanzie wapi? Najua hapa nikisima cha hekima kwa wale wajasiria mali ambao wameshapitia hatua zozote nawaomba wanijuze ili niweze kumsaidia huyu dogo. Asante.
   
Loading...