NAOMBA MSAADA: kampuni kupata NGO compliance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAOMBA MSAADA: kampuni kupata NGO compliance

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chakarikamkopo, Jul 27, 2012.

 1. c

  chakarikamkopo Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Salam Wakuu,

  Naomba msaada wa procedure au consultancy mtu anisaidie kupata cheti cha NGO kwa ajili ya kampuni ambayo imesajiliwa BRELA kama Limited by Guarantee. Kwa vile shughuli za kampuni zina component ya charity nimeshauriwa kupata cheti cha NGO pia kwa jina hilo hilo la kampuni.
   
 2. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  ngo inadeal na nini hyo? kama vip ni PM
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Simply de-register na BRELLA halafu uende kwa msajili wa NGOs pale Wizara ya Maendeleo ya Jamii......ukichelewa TRA watataka ulipe ile corporation tax
   
 4. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  mie nina mtu anamiliki ngo na anatafuta mtu kama wewe.mtafute kwa 0717478451
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wewe unazungumzia application for charity status in accordance with Income Tax Act 2004, Section 64(8)(i).

  Regu. 12 - Registration of charitable and religious organistions
  Para. 12 - (1)

  Any resident entity seeking status as a charitable or religious organisation for the purposes of Act shall :-

  Subpara. 12 - (1) (a)
  apply to the Commissioner in the prescribe form stating its tax indentification number; and

  Subpara. 12 - (1) (b)
  attach to the application :-

  Subpara. 12 - (1) (b) (i)
  two copies of the certificate of registration of the entity confirming its status issued by the Government or relevant public authority or association;

  Subpara. 12 - (1) (b) (ii)
  two copie of the instrument under which the organisation is established and the rules under which it is regulated; and

  Subpara. 12 - (1) (b) (iii)
  any other information that the Commissioner may prescribe.

  Para. 12 - (2)
  After consideration of any application referred to in paragraph (1), of this regulation the Commissioner shall inform the organisation in writing of the Commissioner's decision and, in the case of approval, the year of income from which the organisation is considered a charitable or religious organisation and any conditions to which the approval is subject.

  Para. 12 - (3)
  Where there is any alteration to the instrument under which a charitable or religious organisation is established or the rules under which it is regulated, the organisation shall, within 14 days of the alteration, provide the Commissioner with two copies of the alteration document.

  Para. 12 - (4)
  The Commissioner may at any time by notice in writing withdraw the status of an organisation as a charitable or religious organisation under the Act where :-

  Subpara. 12 - (4) (a)
  the organisation fails to provide the Commissioner with a copy of an alteration document within the time prescribed by paragraph (3) of this regulation;

  Subpara. 12 - (4) (b)
  the Commissiner is of the opinion that an alteration to the istrument under which the organisation is established or the rules under which it is regulated means that it no longer qualifies as a charitable or religious organisation; or

  Subpara. 12 - (4) (c)
  the Commissioner is of the opinion that the organisation is not complying with the instrument under which it is established or the rules under which it is regulated.
   
 6. c

  chakarikamkopo Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana wadau wote kwa mchango wangu. Pia nadhani sikujieleza vizuri sana.....nahitaji kuwa na company registration na NGO compliance kwa vile shughuli nayofanya sasa natoa mikopo midogo midogo...sijaweza ku access any external funding mtaji ninaoutumia ni vijisenti vyangu kidogo kidogo baada ya kuuza matikiti naingiza kwenye mikopo. Sasa nilipata wazo la kuanzisha project ya kukopesha watoto (children microfinance) ambao wamelazimika kuwa wazazi baada ya wazazi wao kufariki kwa Ukimwi au sababu nyingine. Hawa vijana wapo wengi sana wanafanya biashara za ujasiliamali lakini hawawezi kukopa mitaji kwa vile wengi wao ni minors pia hawana dhamana.

  Nilituma proposal kwa mshauri mmoja akaniambia itakuwa ni ngumu sana kupata funding kama utakuwa na status ya kampuni maana usoni kwake tu inaonyesha wewe ni for profit wakati huu mradi kwa majaribio hautakuwa wa faida.

  Ndio maana nimeomba jinsi ya kuifanya hii kampuni iwe na status ya NGO.....pia watu wa TRA wanaweza kuanza kudai kodi wakati mimi sijaanza hata kupata faida
   
Loading...