Hi biashara ya 21st century | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi biashara ya 21st century

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Damalu, Aug 1, 2012.

 1. D

  Damalu JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 281
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  wadau,

  biashara ya Mult-level marketing naomba ufafanuzi kwa yeyote anayejua hii kitu plz
   
 2. C

  Cash King Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  I agree network marketing is a valid business but not all companies are valid !!
  ...Niliwahi kua FLP but nikajitoa sababu Hii kampuni na nyngne nyingi zinawaibia sana wananchi.....kupitia compensation plan zao....zimekaa vibaya mno, zimebanwa sana kiasi kwamba wewe uta fail from the very beginning. Na nina mifano hai na solid envidence (USHAHIDI WA KUTOSHA).....Naweza nkakuelewesha vizuri ukaelewa... Pia naweza nkakuonyesha jinsi wananchi wanavyoibiwa pesa nyingi kupitia compensation plan ya hizo kampuni....A studied and a proved report internationally ilieleza A to Z on the dirty little secrets about these companies. kama unataka mkanda wote we ni PM ntakuonyesha. Unahitaji akili ya ziada katika kuchagua kampuni thabiti na nzuri ya kufanya nayo kazi......And we have a proven and successful formula on doing this. Niko kwenye kampuni nyingine kwa sasa inayolipa na kufanya vizuri. So far imekua tishio huko kwenye mabara ya ulaya na america...Yeyote atakae fata formular hiyo hufanikiwa kwenye Network Marketing (Biashara Ya Mtandao) kabisa. The highest cheque iliyowahi kutolewa mpaka sasa kwa mtu mmoja kwa kazi aliyoifanya ni $ million 8.3 sawa na Tsh Billion 13 na million 200 approximately excluding taxes.....pesa ambayo wafanyabiashara wa flp,tienshi, oriflame etc....watabaki kuiota. Ni PM for more ground shaking facts....Fanya uchunguzi wa kina kabla hujafanya a business decision...vinginevyo utapoteza nguvu na muda mwingi...na kuvuna hasara.
   
 3. D

  Damalu JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 281
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Nahukuru sana kwa ufafanuzi wako.....je utawezaje kuchagua the right company sasa maan nyingi zinakuja na wengi wanakuwa wanafanya kama machinga? ambayo imesababisha watu wengi kukata tamaa??
   
 4. C

  Cash King Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nina ku PM now... alaf waweza tembelea thread yangu....HAPA kuna video utaziangalia if you have any questions let me know.....
   
Loading...