TOYOTA SUCCEED kwa mwenye uzoefu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TOYOTA SUCCEED kwa mwenye uzoefu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ubungoubungo, Jul 28, 2012.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  jamani, nataka kumnunulia mdogo wangu gari ndogo TOYOTA SUCCEED, mafuta nimeona inatumia kidogo sana, naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu....kuhusu spare parts kwa hapa dsm, kwa vigari kama hivi zinapatikana kiurahisi na za bei ya chini kwa mjasiriamali? au?
   
Loading...