Dar express choka mbaya!!

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Hatimaye ile kampuni yetu pendwa ya usafiri wa Dar - Arusha kwa bei ghali inachungulia kaburi. DAR EXPRESS wamechoka! Nadhani SCANDNAVIA EXPRESS ameanza kumuita rafiki yake huko mautini aliko! Ni hivi, Jumatatu nikienda Tanga, Njiani nilikutana na Dar express mbili zikiwa zimeharibika. Nikaanza kushangaa, ni nini hiki? Leo nimetoka Arusha na Dar express ya saa 12 kasoro, Masikini wa Mungu basi limetufia njiani! hapa nilipo Ubungo nasubiri lifufuke ili niletewe mizigo yangu. Nililopanda nyuma yake (mkombozi!!!) nadhani limetoka rombo, nalo limechoka mbaya! TV zote ndani zimeng'olewa bila kusahau kwamba sasa hivi hakuna tena Dar express yenye A/c!! Maskini!!!

MY TAKE: kucharge nauli kubwa sio kudumu kwa makampuni ya usafiri. Naamini kwamba ukicharge nauli halali pamoja na moyo safi wa huduma yako kampuni yako itadumu sana.
 
Mke wa mzee dar ex kaondoka na utajiri familia imebaki kutumbulia macho hotel ya high way na kusahau magari uzuri kuna kilimanjaro tangu 2009 ndo gari ninazotumia
 
Mke wa mzee dar ex kaondoka na utajiri familia imebaki kutumbulia macho hotel ya high way na kusahau magari uzuri kuna kilimanjaro tangu 2009 ndo gari ninazotumia

mhu! kwani yeye ndiye alikuwa director? au alikuwa kimbola?
 
Back
Top Bottom