Kiwanja kinauzwa kipo pembezoni mwa u fukwe ( beach plot)

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Kiwanja kipo Temeke Amani Gomvu, ni umbali wa km 24 kutoka feri ya kigamboni ni mbele ya gezaulole. kipo umbali wa kutosha kutoka baharini ( hakipo kwenye eneo la hatari) kimepimwa na kina hati ya miaka 99 imetolewa 2007. kina ukubwa wa heka 3.5 (tatu na nusu) kimetengwa kwa matumizi ya kibiashara ,hotel utalii n.k kinauzwa $ 400,000 tuwasiliane kwa mwenye kukihitaji +255 686 200 117, 0657 145555 Akiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom