Vodacom walivyo chemsha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom walivyo chemsha

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chash, Jul 29, 2012.

 1. chash

  chash JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mimi nawashangaa vodacom. Waliwahi sana kuanzisha huduma za mpesa na waka-train mawakala nchi nzima kwa gharama kubwa. Sasa ilikuwakuwaje wakaruhusu kampuni zingine za mitandao kutumia mawakala hao hao wa vodacom kuhudumia tigo pesa, airtel na zantel?. Au mimi sielewi agency law? Kwa kweli mimi naona wamechemsha kwa sababu wanapoteza market share yao kwa kasi kubwa.
   
Loading...