Huu si ubabaishaji wa NMB?!..

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
820
174
Jamani NMB bank hivi hizi ATM zao kutoa noti za elfu 10 tu tatizo ni teknologia yao au ni uhuni tu,halafu sijawahi

kusikia wakitolea maelezo swala.

Mara nyingi miamala yangu inanitaka nitoe na elfu 5 nashindwa na nimechunguza ni ATM zao zote zilizoko

posta,Magomeni,Temeke,ninaishia kutoa pesa ambayo sijapanga kuitumia.

Jamani na kwingine mnafanyiwa huu uhuni?....
 
hiyo ni wao wenyewe na sio mboni zamani ilikuwa inatoa hadi bukubuku siku washachoka dizaini..
Ni kweli kaka au ndy ilikuwa kuvutia wateja tu,kisha mkishakubali nikuburuzwa tu,mi ninadhani mi mteja na pesa ni zangu ninahaki ya kutoa kiasi ninachotaka haya mambo ya kupangiana kiasi mi naona ni ubabaishaji....
 
Back
Top Bottom