Hii namba ikipigwa kwenye simu yako usipokee 0901901901 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii namba ikipigwa kwenye simu yako usipokee 0901901901

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mtanzania haswa, Sep 2, 2011.

1. Mtanzania haswa

Mtanzania haswa JF-Expert Member

#1
Sep 2, 2011
Joined: Oct 31, 2010
Messages: 665
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.

2. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#2
Sep 2, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,814
Likes Received: 589
Trophy Points: 280

heee! Kwahiyo tusipokee kwa sababu inakuboa wewe?

3. ulinzi

ulinzi New Member

#3
Sep 2, 2011
Joined: Sep 2, 2011
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ubarikiwe kwa kutujuza

4. Twilumba

Twilumba JF-Expert Member

#4
Sep 2, 2011
Joined: Dec 5, 2010
Messages: 6,148
Likes Received: 878
Trophy Points: 280

Tilte ya sred yako so hush kaka, by the way hivi kinachoku-bore wewe unadhani kitam-bore mwngne? People are so distingushed brother!.

5. B

Bajabiri JF-Expert Member

#5
Sep 2, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Even jana walipiga,huwa nakata,air tell nao wanako haka katabia

6. Duduwasha

Duduwasha JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2012
Joined: Nov 3, 2010
Messages: 5,144
Likes Received: 2,178
Trophy Points: 280
Dah Even Me Tokea Last Week Napata Msg kuwa Msichana wa Miaka 22 ID Yake kadhaa...Amependa Profile Yangu Kha! ili niongee nae ati Nipige Namba hiyo Sh 1/sek nifurahie Maongezi What is This!!! Hivi Ningekuwa na Mke Si Balaa hilo Tena Ndani oi...

7. Ndibalema

Ndibalema JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2012
Joined: Apr 26, 2008
Messages: 10,916
Likes Received: 132
Trophy Points: 160
Inamaana tigo wamekosa ubunifu kabisa!!

8. Codon

Codon JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2012
Joined: Dec 16, 2011
Messages: 629
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Tigo kwasasa wajipange!Wanaboa!Sikwahilo tu!

9. Scofied

Scofied JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2012
Joined: Jun 5, 2012
Messages: 2,026
Likes Received: 199
Trophy Points: 160
Tigo bana..hata mtandao wao hauko vizuri kama jina lao...:high5:

10. M-bongotz

M-bongotz JF-Expert Member

#10
Jul 31, 2012
Joined: Jan 7, 2010
Messages: 1,732
Likes Received: 39
Trophy Points: 145
Kweli kabisa,mtandao wao haufikii utanu wa 'tigo'

Loading...