Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

DAR ES SALAM, November 1, 2012 The Tanzania Economic Update is a biannual series aimed at fostering constructive dialogue between stakeholders and policymakers about the state of Tanzania's...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF.. Leo nimerudi tena baada ya kupotea kwa muda mrefu nikiwa katika gurudumu la mchakato wa elimu. Nami natoa shukrani zangu za pekee kwa mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kumaliza...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Salaam wanajamii, Hivi karibuni nilieleza kwa ufupi namna ya kuanzisha biashara na kuifanya ifanikiwe,tulizungumzia hatua ya wazo lenye kutatua matatizo katika jamii,kupata wateja na namna ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, kwanza poleni kwa changamoto zinazojitokeza kwa ukosekanaji wa mafuta. Tunaona juhudi mbalimbali zinafanywa kuondoa tatizo la mafuta. Jana na leo asubuhi tuliweza kumuona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kueleweshwa gharama za umeme (Electricity Tariffs). Nimejaribu kupitia jedwali hapa chini lakini sijaelewa. i.e viwango vilivyowekwa ni kwa muda gani ? mtu anayetumia...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wana great thinker,naomba kuuliza Kama kuna mtu ambaye anajua Nchi ambayo nitapata Matairi ya bei nafuu kwa jumla Kwani January nataka kufungua sehemu ya kubadilisha oil,wheel alignment...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Jamani hici majuzi nilikwenda kutengeneza gari langu pale gereji ya wachina iliyoko karibu na Rose Garden. Baada ya matengenezo yaliyodumu saa 4, gari ilitulia kabisa na wakaniambia gharama ambapo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukweli husemwa: Mchumi Milton Friedman alisema, "There ain't no such thing as free lunch". Viongozi wetu kila kukicha ni kutembeza bakuli na kukopa. Deni la taifa kwa sasa ni Tsh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ili kusajili kampuni yako au biashara nyingine ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ&CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au tembelea ofisi zetu zilizopo Mandela Road-Dar (Opposite...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kuji ingiza katika hii kazi lakini bado nafanya utafiti,kama mtu ana idea ntafurahi sana aki share nami.
0 Reactions
15 Replies
14K Views
kwa huduma za materials ya ujenzi kama mchanga, mawe,mbao, matofali,nk wasiliana nami kwa namba 0768877559 tupo mkoani arusha na tunafanya kazi nchi nzima
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa ni wapi naweza kupata kitanda cha kujifungulia akina mama (delivery bed) jijini Dar es Salaam au Mwanza. Nitafurahi pia kufahamu bei yake. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Written by AMBY LUSEKELO | Daily News | October 14, 2012 I am the Owner, Founder, CEO, Partner and Managing Director. I am also the Head of Department (HOD) handling everything that this company...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu! Najitokeza kwa mara kwanza kuanzisha mjadala unogusa maslahi ya taifa. Jana nilikuwa nikimsikiliza Prof. Sospiter Mhongo waziri wa Nishati na Madini (Kipindi Dakika 45 ITV)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimenunua nondo lakini fundi chuma ambae ndio anazitumia anadai hizo nondo ni fake kwani akizikunja zinavunjika wakati nondo inatakiwa kupinda. Wapi natakiwa kupeleka sample ya hizi nondo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatimaye siku si nyingi Tz tutakuwa tunazalisha Mafuta na gesi, Ngoja tuone kama JK atawashkisha waarabu hii dili na kuwanyang'anya wafaransa. TPDC yagundua mafuta na gesi asilia Mkuranga...
0 Reactions
241 Replies
51K Views
Utaipata hapa (http://www.dbresearch.com/PROD/DBR_INTERNET_EN-PROD/PROD0000000000296087/Tanzania.pdf;jsessionid=3552D04F62DC88E5F322825033141DA9.srv-loc-dbr-com): Key strengths Broad political...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana jamvini. Kuna wachina wana kampuni ya kuuza vifaa vya solar (umeme wa nguvu ya jua) wanataka kuja kuwekeza katika vijiji vya tanzania. Kwa mwenye uzoefu na hii industry hapa kwetu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
By Jackson Okoth The Isuzu brand, sold by General Motors East Africa, has maintained its lead in sales figures at 246 units, followed by...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Tumejipanga vya kutosha?? miundombimu iko fresh? Madeleva wetu wa daladala na boda boda wawe makini sana na wafuate sheria za barabarani ili wasije wakagonga treni na kusababisha maafa makubwa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom