Sheria za kuanzisha kampuni ya solar energy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria za kuanzisha kampuni ya solar energy

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Oct 29, 2012.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari wana jamvini. Kuna wachina wana kampuni ya kuuza vifaa vya solar (umeme wa nguvu ya jua) wanataka kuja kuwekeza katika vijiji vya tanzania. Kwa mwenye uzoefu na hii industry hapa kwetu, sheria zake ziko vipi, kwa maana ya vigezogani mwekezaji anatakiwa awe navyo?
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  waone DG Jameson company wao ni business consultants watakao washauri na kufanya process zote.
  namba zao ni 0767 102102,email: dgjamesonltd@gmail.com
   
Loading...