mimi ni supplier wa building materials kama mawe mchanga,mawe ya tanga matofali mbao nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi ni supplier wa building materials kama mawe mchanga,mawe ya tanga matofali mbao nk

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by GODFREY MELECKZEDECK, Oct 26, 2012.

 1. G

  GODFREY MELECKZEDECK Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwa huduma za materials ya ujenzi kama mchanga, mawe,mbao, matofali,nk wasiliana nami kwa namba 0768877559 tupo mkoani arusha na tunafanya kazi nchi nzima
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Upo mkoa gani???? Hebu vutia tangazo lako kwa kusema nini hasa unauza na offer zake kama zipo.
   
 3. G

  GODFREY MELECKZEDECK Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  soma vizuri kaka utaona mkoa na juu ya gharama ni pale utakapohitaji
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Niko dar, naweza kupata interlocking blocks? Bei ikoje?
   
Loading...