Kitanda cha kujifungulia akina mama kinahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitanda cha kujifungulia akina mama kinahitajika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Makoye Matale, Oct 31, 2012.

 1. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Habari Wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa ni wapi naweza kupata kitanda cha kujifungulia akina mama (delivery bed) jijini Dar es Salaam au Mwanza. Nitafurahi pia kufahamu bei yake.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  wasiliana na ofisi za sido hapo ulipo
   
 3. k

  kim jong un JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  unakitaka baada ya muda gani. Na inategemea bei ulo nayo ndo tuangalizie
   
Loading...