Biashara ya Matairi

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Ndugu wana great thinker,naomba kuuliza Kama kuna mtu ambaye anajua Nchi ambayo nitapata Matairi ya bei nafuu kwa jumla
Kwani January nataka kufungua sehemu ya kubadilisha oil,wheel alignment ,wheel balancers na tire changers,Niko Arusha,Na wapi nitapata
oil kwa bei ya jumla ,asanteni sana wana GT.
 
Mtafute mbunge wa viti maalum kupitia vijana anaitwa sara msafiri na munde tambwe watakuuzia matairi kwa bei rahisi
 
Anga lia wateja wana penda oil zipi mfano gapco,bp nk ndiyo wa kuwaona kila laheli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom