Usafiri wa treni kuanza kesho

mgomba101

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,817
706
Tumejipanga vya kutosha?? miundombimu iko fresh? Madeleva wetu wa daladala na boda boda wawe makini sana na wafuate sheria za barabarani ili wasije wakagonga treni na kusababisha maafa makubwa!
 
Tumejipanga vya kutosha?? miundombimu iko fresh? Madeleva wetu wa daladala na boda boda wawe makini sana na wafuate sheria za barabarani ili wasije wakagonga treni na kusababisha maafa makubwa!

Kila la kheri, baada ya usafiri huu kukolea nadhani itakuwa ni muafaka sasa kuangalia kama tumefanikiwa au bado????
 
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa nauli itakuwa 700 au 800.

Inabidi waangalie nauli ambayo mtanzania wa kawaida ataimudu hatakama
itabidi serekali ichangie kidogo ktk huo usafiri hata kwa kufuta kodi kwa mafuta yatakayo tumika.
 
makubwa huu mwanzo wa vitisho sijui utaisha lini maana hawa sirikali hawaeleweki anyway yangu macho
 
Back
Top Bottom