Kusajili makampuni au biashara nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusajili makampuni au biashara nyingine

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KAPIRIPIRI, Oct 23, 2012.

 1. K

  KAPIRIPIRI Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ili kusajili kampuni yako au biashara nyingine ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ&CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au tembelea ofisi zetu zilizopo Mandela Road-Dar (Opposite na Mabibo Hostel)
   
 2. m

  masagati JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  nita watafuta.
   
 3. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,964
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Gharama zenu ziko vipi, nataka TIN na leseni nimeshasajili Brella.
   
 4. K

  KAPIRIPIRI Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu Asante, naomba tuwasiliane, bei zetu ni nafuu mno
   
 5. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  funguka zaidi mkuu
  ukiweka mambo wazi biashara inaenda haraka zaidi......wengine wanaona kero kuulizauliza wewe weka kila kitu hadharani
   
 6. Mavindozii

  Mavindozii JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Kamanda na Kama niko Arusha nitafanyaje ,una Agent Arusha?
   
Loading...