Habari zenu wakuu, nitaongea kwa kifupi tu:
Kero yangu ni haya matangazo ya biashara ya kibongo, leo nizungumzie tangazo la Airtel Money ambalo yupo Majuto na sharobaro mmoja ambaye simjui, juzi...
08/11/2012
- Corrects Bank Origin To Tanzania
FRANKFURT (MNI) The Cypriot government has managed to push back the threat of near-term insolvency thanks to the purchase of E240 million in...
Habari za kazi wakuu.Tumeungana wajasiriamali watatu na kuanza kutoa mafunzo jinsi ya kuzima moto,zaidi tunalenga kuwafundisha watu jinsi ya kutumia mitungi ya kuzimia moto majumbani na tuinatoa...
Country maintains excellent macroeconomic management but rural poor yet to experience benefits of growth
DAR ES SALAAM, November 1, 2012 The Tanzanian economy continued to post impressive...
Kwakweli huu ndio uzoefu wangu na wengi niliyowauliza, kwenye kuhudumia wateja, wanawake wamekuwa na majibu ya hovyo na yasiyolenga kumhudumia mteja na wakati mwingine hukukatia simu wakati...
THE Zanzibars Minister responsible for Energy and Water, Mr Ali Juma Shamuhuna, said here on Monday that the islands plans to instal gas-powered electricity generators and solar panels.
Mr...
Habari wanajamvi
Naomba kuelimishwa kidogo. Nasikia kuna mamlaka za kiserikali wanatoa vyeti maalumu kwa makampuni ili kuyawezesha kuingiza bidhaa nchini bila kutozwa ushuru bandarini, bidhaa...
1. The Pyramids and the Sphinx
The Pyramids and the Sphinx is one of Egypt's top tourist attractions. The last surviving member of the Seven Wonders of the World, the Great Pyramid of...
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Hamjambo wanaJF. hebu mwenye uelewa aniambia nini maana ya mwekezaji, ni mzungu anayetoka nje na kuja kuwekeza nchini au hata Simon wa mtaani mwenye duka la kawaida ni mwekezaji pia?
Tigo wamesitisha kutoa line za uwakala wa tigo pesa (TILL) kwa muda mrefu sasa, hata walioomba July mpaka leo hakuna jibu.
Matokeo yake ukienda kwa wakala mkuu wanakwambia toa laki 6, wengine...
Mwenye ukaribu na Meneja wa masoko Tigo amfikishie malalamiko yangu,
Ni kwann wanang'ang'ani kupiga kupromotion badala ya kucontrol database yao ya wateja!!!??
Maana sasa hv jam imezidii ile...
Kuna wadau kadhaa ambao wanaji involve moja kwa mojo na promotion/marketing ya vivutio vya utalii Tanzania. Baadhi ni kama wafuatao.
1. TTB - Tanzania Tourists Board
2. TANAPA - Tanzania National...
Siag Travel Agent of Egypt is in the process of organizing an annual Cairo-to-Dar expedition with effect from January next year. This was disclosed by its Chairman and founder, Mr. Rami Siag...
Mimi nashauri TRA isimamiwe na taasisi huru ili kukagua maeneo ya kodi ambazo hazijalipwa. Hapa mjini kuna maduka ya hardware hayaguswi hata kidogo kwa kuwa wenye mali wanautaratibu na maofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.