JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello friends we can now have friends without them knowing us or even without us knowing them,we can share our interests and so many things so let us enjoy it.......what you have to do is to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi na mmoja ya wasomaji wazuri wa safuhii ya mahusiano, mapenzi na urafiki. Ila nimekuwa na wakati mgumu kuelewa virefu vya vifupissho hivi MMU na PM. naomba mnijuze maana zake. I beg to submit.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa zangu Chinga wanajua sana kwenda na wakati na matukio hasa wakati wa kuwapa majina watoto wao. Hii nilithibitisha pale Maandazi road nilipomsikia baba Ochama akiimuuliza nkewe mama Ochama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili. aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika maongezi, mvuta bangi alimuuliza mlevi..... Mvuta bangi: Ati India iko mbali?" Mlevi: sidhani, kwasababu tuko na mhindi mmoja kazini, huwa anakuja kwa baiskeli kila siku.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
0 Reactions
33 Replies
38K Views
Kile kirusi maarufu "TAMBWE HIZA" ambacho ni maarufu kukamatika by any ANTIVIRUS lakini kigumu kudilitika hivi karibuni KILIKWISHNE mara baada ya kukutana na ANTIVIRUS ya ukweli.Mara baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
M/kiti wa mtaa (Mkurya) akitoa hotuba msibani: M/kiti: Ndugu sangu tumekusanyika haba maarum kwa chambo mocha , msee Marwa a.m.e.f.i.r.w.a na kichana wake wa kiume yure mukubwa! Chambo la...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtaliano mmoja kicheche na jeuri allikuwa akimzinia na kumtamkia maneno ya jeuri mkewake bila aibu wala kificho. Siku moja akiwa anamsindikiza kuja Safari ya mwezi mzima Tanzania, wakiwa uwanja wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WanaJF Habari za asubuhi hii, Katika Pitia pitia katika vipindi vya TV nimekutana na maneno ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyasikia, kimsingi nimeona niwashirikishe ili wanajamvi wenzangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mnashangaa nini,kwa taarifa yako,'anayevaa khanga ya mama yako asubuhi muda wa kwenda kuoga ndo baba yako huyo,mkubali baba wa ukweli,mkubali YANGA!
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF Huwa ninapata shida moja kuhusiana na wanoweka tinted kwenye madirisha ya magari yao hivi huwa hawataki watu wawajue au wanaficha nini. Nisaidieni nini faida na hasara za hizi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wasikilizaji C C M wamekosa bao la wazi kabisa. Alikuwa winga machachari Nap, alivuta akawalamba chenga mabeki wote wawili kwa mpigo akamuunganishia pande captain J ambaye badala ya kuusukuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto na kaka yake walikwenda kuiba nyanya na mananasi. Wakati wanarejea, dogo alitangulia mbele masafa kidogo kwa sababu mzigo wake ulikuwa mwepesi. Kabla hakufika mbali akakutana na mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hawa magiant wa matangazo katika media mbalimbali mbona hatuoni mkibisha hodi hapa? kuna ki space kinahang hapo juu muda mrefu...Airtel naona wapo constant..we need yr support while advertising yr...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
HAYA KAZI KWAKO Chodo walked into class every morning with a black eye. After a while his teacher got worried and asked him about it. Chodo's answer was: "Our house is very small miss. Me...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina wasiwasi chinga wanaweza kuwa wana asili ya uingereza. Angalia majina yao Waingereza: Sir Goatly Mr Brown Mr Southgate Captain White .......... ........ Chinga: Nchumali Chipoku Bakuli...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Orijino komedi na siku ya kunawa mikono duniani http://youtu.be/GmUC3eZFarE http://youtu.be/3vfvgncuONc Orijino komedi na matatizo ya umeme Bongoland http://youtu.be/wO3EjrbbvFU
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa naoan nimefika ..sijui wageni wanakaa kwa kwa mikeka au ndio wanasimama
0 Reactions
2 Replies
1K Views
What happens when a fly falls into a coffee cup? The Italian - throws the cup and walks away in a fit of rage. The Frenchman - takes out the fly, and drinks the coffee. The Chinese - eats the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…