Wezi wa nyanya na mananasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wezi wa nyanya na mananasi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Apr 12, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mtoto na kaka yake walikwenda kuiba nyanya na mananasi.
  Wakati wanarejea, dogo alitangulia mbele masafa kidogo kwa sababu mzigo wake ulikuwa mwepesi. Kabla hakufika mbali akakutana na mwenye shamba.

  "We dogo, nimekukamata, umeniibia nini leo?"
  "Nyanya" dogo akajibu
  "Kama unataka salama yako nisikupeleke polisi, itabidi uchukue nyanya kumi uziingize kwenye tIgO moja baada ya nyengine".
  Dogo akavua suruali na kuanza kuzitumbukiza kwenye tIgO huku anacheka sanaaaa!!!
  "Unacheka nini, pumbaaff?, unaona raha nini" aliuliza mwenye shamba.
  "Hapana, zinauma kidogo lakini ninamcheka kaka anayekuja na mananasi".
   
 2. F

  Fundifundisho Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani si umesema walikwenda kuiba nyanya na mananasi! Sasa matiki maji yametoka wapi!.
  Aya bwana, teh,teh,teh...
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  mananasi jina lake jingine ni matikiti maji?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nashangaa.....
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Samahani Wakuu - Matatizo ya kutofanya usahihishaji.
   
Loading...