The boss came early in the morning one day and found his manager kissing his secretary.
He shouted at him, "Is this what I pay you for?"
The manager replied: "No, sir, this I do free of charge."
An elephant asks a camel;why are your breasts on your back?,"WELL",says the camel,I think that is a strange question from somebody whose dick is on his face!
ni jadi yetu mgeni akikutembelea nyumbani ukamwandalia chochote, mfano chai,soda, maji ya kunywa nk. but kwanini ukimwandalia soda unaifungua mbele yake? ama bia pia unafungua mbele yake? je ni...
Am a psychic old rebel, thats just what I am
For this yankie nation I do not give a damn,
Am glad I didn't fight ufisadi, I only wish we won
I ain't asking any pardon for anything I've done
I...
Mnamo mwaka 1983 nyerere aliamuru watu wote wa mikoa ya kusini warudi makwao kwenda kuendeleza miji yao wasije mjini basi ilkuwa kasheshe kwa ndugu zangu kina chukulubu kurudi kwao sasa police...
Kuna jamaa alinunua kasuka ambaye alishindwa mfuga kwa sababu alikua anatukana sana. Jamaa akaamua kumrudisha ili apewe mwingine au arudishiwe pesa yake. Alipo fika kwa muuza kasuku mazungumzo...
Tulipata mgeni kijijini kwetu akitokea huko pande za kusini mwa nchi yetu. Akajitambulisha kuwa anaitwa "Saa nane" na wote kijijini tukamjua kwa jina hilo. Akajiunga na sisi ktk kazi za kilimo na...
Source: Yahoo friends
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't...
Nilimuuliza Chinga mmoja kwanini majina yao ni tofauti sana na mengine? akanijibu :aaah njomba jina langu ni nyie ndio nnaotumia sasa kwa nini niwachagulie jina zuri? kama ningekuwa nalitumia...
Unaweza usiamini ila ndiyo ukweli, nilipokuwa darasa la pili, siku moja nilimbembeleza mtoto mmoja ambaye naye alikuwa darasa la pili ili aniachie ngoma, haikuwa tabu kwani aliniambia kama nitampa...
Jamaa mmoja alikuwa anakojoa kichakani, nyuki akamng'ata kwenye kichwa cha uume. alipofika nyumbani kwake akamwbia mkewe, mkewe akawa anamtoa mwiba, huku akisali kimoyo moyo "Mungu naomba...
dactari alikuwa anamuandaa mgonjwa,ili amng'oe jino,hivyo akawa anajaribu kumpa story za hapa na pale kama kumtoa wasiwasi
daktari''unajua jinsi gloves zinavyotengenezwa?''
mgonjwa''hapana''...
katika pirika pirika ya serekali ya kenya kufanya msako wa mashoga kuwakamata na kuwashitaki shoga mmoja alitiwa mbaroni na buruzwa mahakamani na kusimamishwa kizimbani ikawa hivi
hakimu=...
Once there were twins, Joe and John. Joe was the owner of a dilapidated old boat.
It so happened that John's wife died A few days later, a kindly old woman saw Joe and mistook him for John...
Mwanafunzi wa darasa la nne huko kijijini alikuwa akisafiri na baba kwenda mjini kwa shangazi yake. Basi lilipoanza kuingia mjini mtoto wa watu alikodoa jicho dirishani si kidogo, na alionekana...
Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa...
A son asks his daddy the difference between theoretically and realistically. Daddy says " That is hard, but I have an idea. Ask mummy if she would sleep with Wayne Rooney for one million pounds"...