Wapare na shemeji yao malecela

Wapare na shemeji yao malecela

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
THATHA NYIE WAPARE KAMA MMEONA MMEPENDELEWA KUPATA YULE THEMEJI YENU KUTOKA UGOGONI TUTAWAACHA NAYE TUNAVYOJITENGA,SHAURI YENU!:angry::frown::frown::frown::frown::frown:
 
duh, sijakuelewa hapa, wewe ni nani na kwa nn unawaambia ivi?
 
Shemeji yenu wapare kaongezwa kwenye orodha ya mafisadi, je inawezekana dada yenu kupona kuwa fisadi wakati hata harusi yao ilifadhiliwa na fedha za EPA!
 
ktk mkoa wa kilimanjaro maeneo yote ya wapare waliwapa ccm kura!sijui tunapata faida gani toka ccm na huku mashule,barabara tumejenga kwa nguvu zetu wenyewe-msaragambo.inasikitisha sana
 
vipi tena afro d mbona una smash comp?

nimejaribu kumsoma anamaanisha nini
na anataka nini lakini nimetoka kapa...
hasira kidoncho tuu zikanipitia ..mmmmhhhh
we umemwelewa??
 
Back
Top Bottom