Kasuku

emma-chriss

Senior Member
Mar 16, 2011
100
16
Kuna jamaa alinunua kasuka ambaye alishindwa mfuga kwa sababu alikua anatukana sana. Jamaa akaamua kumrudisha ili apewe mwingine au arudishiwe pesa yake. Alipo fika kwa muuza kasuku mazungumzo yalienda hivi;

MTEJA: Huyu kasuku simtaki anatukana sana.
MUUZAJI: Nitakupa mwingine mwenye uwezo wa kuongea lugha nyingi.
MTEJA: Anaongea lugha ngapi?
MUUZAJI: Mbili!
MTEJA: Ipi na ipi?
MUUZAJI: Kingereza na Kifaransa,akinyanyua mguu wa kulia anaongea kingereza,akinyanyua wa kushoto kifaransa!
MTEJA:Akinyanyua yote kwa pamoja anaongea lugha gani?
KASUKU: KU** MAMAKO SINTAANGUKA, EBOH!!!!!
 
Bora abaki na yule yule kwani huyo mwingine anaemchukua ndio balaa zaidi...hahahaha thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom