Chinga na polisi

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Mnamo mwaka 1983 nyerere aliamuru watu wote wa mikoa ya kusini warudi makwao kwenda kuendeleza miji yao wasije mjini basi ilkuwa kasheshe kwa ndugu zangu kina chukulubu kurudi kwao sasa police ilibidi ishke hatamu coz ilikuwa vigumu kuwatambua kwa sura lakini mambo yalikuwa rahisi kwa kigezo cha kuongea mambo yalikuwa hivi:polisi alieshka paketi ya sigara sport na sm kamuuliza mtu wa kwanza hiki nini kajibu kwa ufasaha.wa2 kasema chigara chipoti na echiem. Kakamatwa wa3 nae kakamatwa. Mhh wa 4 kuona nduguze wa nkoa wamekamatwa,kaulizwa na polis, kakaa kimyaa.polisi kawambia wenzake afande huyu jamaa ni bubu! Jamaa kuona anaitwa bubu kafungua mdomo kajibu. apande mimi chio bubu ila chitaki kuchema.nae kakamatwa na kurudishwa kwao.
 
Yeee yani kama angeuchuna tu polich achinge nkamata.chema tu ndomo haina bureki.
 
Back
Top Bottom