Nilipokuwa darasa la pili nilitongoza nikatapeliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilipokuwa darasa la pili nilitongoza nikatapeliwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Anold, Apr 15, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Unaweza usiamini ila ndiyo ukweli, nilipokuwa darasa la pili, siku moja nilimbembeleza mtoto mmoja ambaye naye alikuwa darasa la pili ili aniachie ngoma, haikuwa tabu kwani aliniambia kama nitampa senti hamsini haitakuwa shida, kwa kuwa pesa hiyo sikuwa nayo ilibidi niende kuchota kahawa ya mama na kwenda kuiuza dukani ambapo nilipewa kama shilingi moja, hivyo nilimlia timing yule demu na kumkabidhi senti hamsini alizohitaji, aliniahidi kuwa nitangulie kwenye kichaka fulani then atatia timu, nilikaa pale kwa masaa kadhaa mpaka nilipoona usiku unaingia ikabidi nirudi home huku nikiwa siamini kilichotokea, kesho kwa bahati nilimuona na kumuuliza mbona hakuja? aliruka kimanga na kuniambia hela niliyompa haitoshi, jambo lililofanya nimuongeze sent 50 nyingine, baada ya kumpa hiyo sikumuuona tena hadi baada ya siku kama 2 ambapo nilipomhoji akaniambia nimkome. Nilimhakikishia kuwa kama ameshindwa lazima atarudisha hela yangu, baada ya juhudi zote za kudai hela yangu kugonga mwamba siku moja usiku nikatia timu kwao, kwa bahati nilimkuta akiwa na mama yake na hapo nilimweleza kuwa naomba anirudishie hela yangu baada ya mzozo aliingia ndani na kunitolea sh. 1 na hapo nikarudi nyumbani kwa amani.
   
 2. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Aisee we sio mchezo alikugwaya mbele ya mama yake sijui angeulizwa aliichukua kwasababu gani angesemaje?
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  dah! bab we ulikuwa nomah! ...
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Inaelekea ulianza Class 1 ukiwa na miaka kumi na moja baada ya mkono wa kulia kuweza kugusa bega la kushoto kupitia juu ya kichwa.
   
 5. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Da umenikumbusha mbali sana mkuu, mimi nikiwa darasa la sita nilikuwa mara yangu ya kwanza kutongoza, ilikuwa ishu yaani sitakaa ni sahau.
  Nilimuelezea rafikia yangu basi tukakaa chini tukaandika barua kwenye daftari, sikuchana lile karatasi ili nikirudi nyumbani niombe pesa ya kalamu halafu nibadilishe ninunue bahasha niiweke ile barua, nilipofika nyumbani mama kaniambia nimletee madaftari akague kufungua akaanza kutoa daftari la hesabu akaanza kukagua kufika katikati akakutana na barua niliomuandika yule demu, na ilikuwa noma siku hiyo, nikakimbia sikula hata lunch nikarudi jioni na majani ya kuku, kuua soo lakini wapi bado nilichezea kichapo.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Miaka 11?? Bado hawezi kutongoza kama yeye! Tena enzi za senti 50??? Labda useme alianza akiwa na miaka 15!! Wengine senti 50 tumezionea kwenye vitabu vya Hisabati. Class 1 anatongoza??? Labda kweli.
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duh! Nimecheka mpaka nimepaliwa! We jamaa ni kiwembe. Mbona ulianza mapema sana mkuu?
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Du.. umekomaa mpaka pesa yako karudisha, lakini saizi najua umeshatapeliwa sana lakini uwezi kukomaa tena:hurt:
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!! Hii kali darasa la pili unatongoza!
   
 10. m

  mahery New Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa ndio dunia hiyoooooooooo,ila ucje ukatongoza na majini sasa:redfaces:
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,511
  Likes Received: 19,930
  Trophy Points: 280
  sishangai labda ulianza shul e ukiwa na kiaka 14 au 15 ,
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hope huyo binti ni changu sasa hivi
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hadi leo ushatongoza wangapi mkuu ka ndo ulianzia kutongoza darasa la 2
   
 14. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Mie nikiwa std2 nakumbuka kuna ticha nmoja wa kike alikuwa akiingia class tu mie mashine inasimama, basi nilikuwa najiuliza kwa nini nilichelewa kuzaliwa
   
Loading...