Chinga na majina yao.

Chinga na majina yao.

Capitano

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
1,959
Reaction score
1,635
Nilimuuliza Chinga mmoja kwanini majina yao ni tofauti sana na mengine? akanijibu :aaah njomba jina langu ni nyie ndio nnaotumia sasa kwa nini niwachagulie jina zuri? kama ningekuwa nalitumia mwenyewe sawa.Duh!!!
 
Sijaelewa kabisa, majina gani, mfano lipi hebu kuwa clear and open tuelewe unachomaanisha hapa
 
Cjakusoma kabsaaaa???

yani anamaanisha yeye mwenyewe hawezi kujiita mwenyewe ila wewe ndio utamuita we mchumali njoo hapa kwakuwa nyie ndio mtalitumia kumuita ndio ameamua kujiita jina baya hapo umeelewa?
 
@ aine
'"nchumali njia panda, chufulia, kijiko, nyelele, pungo, nchumeno, chipoti,chikulubu n.k"
 
mkuu hiyo avatar yako ni wenyeji wa kule bondeni? naona kama wanasilimiana vile...unapewa salamu na mvua ya makofi ya dabo dabo
Nilimuuliza Chinga mmoja kwanini majina yao ni tofauti sana na mengine? akanijibu :aaah njomba jina langu ni nyie ndio nnaotumia sasa kwa nini niwachagulie jina zuri? kama ningekuwa nalitumia mwenyewe sawa.Duh!!!
 
Mkuu Vince hapo hampigi ila anantikulila
 
Back
Top Bottom