Nyuki kichakani

Nyuki kichakani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Jamaa mmoja alikuwa anakojoa kichakani, nyuki akamng'ata kwenye kichwa cha uume. alipofika nyumbani kwake akamwbia mkewe, mkewe akawa anamtoa mwiba, huku akisali kimoyo moyo "Mungu naomba muondolee maumivu mume wangu, ila Uume wake ubaki saizi hii hii
 
Back
Top Bottom