kwa nini tunafanya hivi?

kwa nini tunafanya hivi?

Pota

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
2,043
Reaction score
788
ni jadi yetu mgeni akikutembelea nyumbani ukamwandalia chochote, mfano chai,soda, maji ya kunywa nk. but kwanini ukimwandalia soda unaifungua mbele yake? ama bia pia unafungua mbele yake? je ni kutojiamini au mgeni wako anakosa imani na wewe?
na kama ndiyo basi kwa nini chakula, juice nk ulivyoviandaa mwenyewe hukuandalia
mbele yake? NAWASHILISHA HOJA
 
sio lazima kufanya hivyo....inategemea na wewe mwenyewe kama hujiamini ndio utaona na huyo mgeni wako hakuamini....kila kitu huwa tunakitengeneza sisi wenyewe binadamu......
 
I think ni uamuzi wako. Mfano nyumbani kwangu napenda nikimpa mgeni kitu nimpelekee glasi tu yani kama soda iwe kwenye glasi au maji nk..sipendi kupeleka/kufungua vyupa mbele ya mgeni!!..
 
preta be open, kwa hiyo wewe ukileta mfano soda unafungulia let say sitting rum then unampelekea labda kwa veranda? labda kama
ni mgeni unayemfahamu,lakini kama ni mara ya kwanza?......napata kigugumizi
 
hapo big up kwani unaweza ukawapa wageni watatu soda moja na ikabaki kwani kuna glasi zingine kubwa kwa umbile
 
preta be open, kwa hiyo wewe ukileta mfano soda unafungulia let say sitting rum then unampelekea labda kwa veranda? labda kama
ni mgeni unayemfahamu,lakini kama ni mara ya kwanza?......napata kigugumizi

mimi wageni wangu huwa nawaletea ikiwa kwenye glass.......kwanza nikiileta na chupa naona kama nyumba yangu imegeuka baa na mimi ndio baamaid....
 
ckujua kuwa chupa ndo zinazodetermine bar. and if its the case ni vema ukazimiminia hukohuko ulikonunua (labda kwenye jagi) na chupa uziache hukohuko
kwani zikiwepo hapo home itakuwa ni bar.
 
Back
Top Bottom