JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzee mmoja alitokea kumwamini sana mkewe ya kwamba si malaya. Ingawa kuna baadhi ya watu walimuhakikishia kuwa kuna jamaa huwa anamchukua na kwenda nae guest house hakuamini. Siku moja wakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya jamani wakiume tujaribu kusoma hiki kitabu kuwaelewa hawa wenzetu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna siku mjapani alikwenda kuomba kazi katika moja ya kampuni kubwa za kibongo.mambo yalikuwa mambo baada ya mjapani kuanza kuhojiwa: afisa mwajiri alimuuliza jina lako nani na unatokea nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kinaelekea ukingoni mwa maisha yake kisisa. Hii inatokana na ukweli kwamba chama hiki hakina umakini wowote na raia wake tena saula ambalo limewakatisha raia tamaa na si kukata...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Siwasikii tena makada hawa wawili wa CCM katika harakati hii ya kujivua gamba kwa chama chao. Nini kimewafunga midomo? Sitta kukosa uuspika au Malechele kushindwa ubunge? Au wameona kushindana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliwashangaa mlio andika jana na kunishambulia kwa u junior wangu ila ukweli ni kwamba wamechakachua my first acc,kama hamtaki watu wa ccm humu ndan mseme....KIDUMU CHAMA TAWALA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pindi kimeisha toka sa sita ila lecturer kakomaa bado anafundisha tuu, afu mi natakiwa nkapitie mara ya mwisho notes coz nina pepa badae, cjui niinuke ntoke?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Sir/Madam, I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager. Each time I apply for employment I am told there...
1 Reactions
0 Replies
860 Views
From Yaoo friends Which is the most Dangerous Letter in English ?? The Answer is "W"...as in Wrong "W" is a tension generator... because all the worries and troubles get begins with...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Leo nimeamua kuja na swali hili kutaka kujua shimo gani la barabarani linalokukera. Mimi binafsi nakerwa sana na shimo lililopo makutano ya barabara ya bibi titi...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Hi! baada pita pita za kila siku leo nimeona nigonge mlango Hodi jamaniiiii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Which is the most Dangerous Letter in English? The Answer is "W"...as in Wrong "W" is a tension generator... because all the worries and troubles get begins with "W"... Who ? Why? What ...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
11 NYOTA ya spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta imezimwa, MwanaHALISI limeelezwa. Sitta, ambaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitegemea akibebe katika kugombea urais mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Serengeti Breweries ni mdhamini wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Clouds fm ni mmoja kati ya waandaji eti wa kitu kinachitwa tamasha la uzalendo. Leo Serengeti Breweries eti ndio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dunia Sasa Imani imekwisha ppapaappapraa Si kwa wakubwa eeehh! si kwa watoto papapapprrrpaaarrraa Mioyo ya watu Imebadirika ppiippiipwepeee Kwenye watu Kumi Binaadamu Mmmojaa!! Wote Tunakwenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
:dance: One cool evening Death came to a guy and said "my friend, today is your day". The guy said, "but I am not ready". Death said, "well you are the next on my list". So the guy told...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU Basi siku moja baba akawa na hamu...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Nikichekesho kweli...! Bill Gates organized an enormous session to recruit a new Chairman for Microsoft Europe. 5000 candidates assembled in a large room. One candidate was Urio, Tanzanian...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…