Namna ya kutakana uloda mbele ya watoto

Namna ya kutakana uloda mbele ya watoto

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU

Basi siku moja baba akawa na hamu akamtuma mtoto kwa mama yake kwamba “ kamwambie mama yako nataka kupiga simu. Yule mtoto akaenda hadi kwa mama yake na kumwambia “ mama baba anasema anataka kupiga simu”

Mama akamjibu mtoto kuwa…kamwambie baba yako simu ni MBOVU. Basi mtoto akarudisha ujumbe kwa baba kwamba “ baba mama kasema simu ni mbovu haiwezi kupigika

Basi na yule baba akamwambia mtoto, “ kamawambie mama yako, kama simu simu yake ni mbovu, basi mie naenda kupiga nje. Yule mtoto akapeleka ujumbe kwa mama.

Mama kusikia hivyo kamtuma tena mtoto kwa baba yake….Kamwambie baba yako kama ataenda kupiga nje….mimi nitafungua kibanda cha kupigisha mtaa mzima,kila atakayekuwa anataka kupiga NITAMPA
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!
Mama hapo atakuwa kagusa penyewe!
 
jamani jamani mbavu zangu du mtt apo cku akijua ni noma sana
 
Wanandoa wengine nao walikuwa na staili kama hiyo ingawa yao ilikuwa tofauti kidogo, Baba alimtuma mtoto kamwambie mama yako alete mashine nataka kufua nguo, mama: mwambie asubiri kidogo nina wageni nitampelekea baadaye, jamaa kasubiri sana, baada ya muda mama kamtuma dogo mwambie avumilie naleta, jamaa akamwambia mtoto kamwambie tayari nimeshafua kwa mikono.
 
hii funika bovuuuuuuuuuu kwi kwi kwi biu up saaana k:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
 
Back
Top Bottom