mseseve
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 511
- 89
Kuna siku mjapani alikwenda kuomba kazi katika moja ya kampuni kubwa za kibongo.mambo yalikuwa mambo baada ya mjapani kuanza kuhojiwa: afisa mwajiri alimuuliza jina lako nani na unatokea nchi gani? Mjapani mimi naitwa takak*MaSakamb*o natokea kum*inamoto japan alikosa kazi palepale.