Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 300
Siwasikii tena makada hawa wawili wa CCM katika harakati hii ya kujivua gamba kwa chama chao.
Nini kimewafunga midomo? Sitta kukosa uuspika au Malechele kushindwa ubunge? Au wameona kushindana na mafisadi nini kazi bure kwani mafisadi wanaungwa mkono na JK?
Wako upande gani katika movie hii ya kujivua magamba?
Nawasilisha.