Ni ajabu na kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ajabu na kweli

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Raia Fulani, May 27, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi wenzangu?
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  me pia sikuwahi kusikia hata km anao basi wanajiheshimu na kujithamini sana. siyo km hiki kilawyer feki cha m/kiti wa magambaz. kinajitangaza ajabu,aaagh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Ni kweli. Kama wapo basi wanajiheshimu sana! Ama wamelelewa kimaadili sana kiasi kwamba publicity kwao si ishu
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  wapo busy na issues zao mkuu. Hawa wengine wanategemea baba akohoe wao wapate tujisenti kodogo.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  Wapo kweli?ila kuna kipindi nliskiaga ben anaharusi ya kijana wake !!!!!!!
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  anao watoto,mmojawapo ni Wakili wa Serikali yuko ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali pale Kivukoni.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hata wa-Nyerere wamekuja kuwa "public" baada ya Baba yao kug'atuka..

  Mkapa anawalea watoto wake ili wajilee wenyewe na si vinginevyo - kwa hili nampa tano!

  Mwinyi ilikuwa lazima kuacha mtoto wake kwenye "system" kwa sababu ya "u-Zanzibari..

  Kikwete nadhani na kabila lake na tabia zake inachangia watoto wake kuwa kama walivyo..

  Ijumaa Njema...
   
 8. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kumuona mmoja kwenye East Africa Tv, tena kafanana kweli na Ben!
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  basi nami nadhani niliwahi kumwona huyo kwenye media
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hopeful umesomeka mkuu
   
 11. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkapa bonge la kichwa jamani ,Jamaa si mchezo yule,Upstairs ipo fit kinoma.Hana mchezo na wapumbafu fulani fulani.Hana makuu daima ila anajua watanzania hawana jema daima.Tangu akiwa waziri hadi ameondoka urais hana pupa kabisa.Hata akizuliwa jambo anajibu japo kwa hasira lakini point tupu.BRAVO BEN nakufagilia kwa sana Mkubwa wangu.Tukikutana usisahau kudai tano zako!!
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kweli hata mimi nilisikia kijana wake anaoa-ila zaman kidogo-sijawai ona picha za hio harusi-nazani kamera zilikuwa monitored vizuri sana
  na nilisikia alikataa michango ya wale wote waliotaka kumchangangia-wakiwemo waheshimiwa wengi
   
 13. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,185
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Mi simo, hapo mmefika mbali, issue ya kuzaa au kutokuzaa ni mpango wa mungu, mshukuru mungu kwa kuwa we una watoto, you can't know why you have or you haven't. Issue za nature naomba tusizijadili, kwani unaweza ukapata watoto na wote wakalaliwa na kontena barabarani! Hayo mwachie Mungu!
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hajazungumzwa mtu kwa nia mbaya ndugu. Tunamsifu tu ndugu Ben kwa misingi mizuri ya kifamilia
   
 15. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Mkapa like Nyerere couldn't wish their offsprings (and relatives as well) to become politicians, there are a lot of perils for a dedicated (kwa wananchi) politicians.
  So, Mkapa's wisdom distanced his children from politics (nao hawataki kwani wana access ya pesa kuliko Fredy wa EL).
   
Loading...