Hiki ndicho kifo cha ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki ndicho kifo cha ccm.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kibajaj, May 27, 2011.

 1. k

  kibajaj Senior Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha mapinduzi kinaelekea ukingoni mwa maisha yake kisisa. Hii inatokana na ukweli kwamba chama hiki hakina umakini wowote na raia wake tena saula ambalo limewakatisha raia tamaa na si kukata tamaa tu balo wamechoshwa na mizengwe ya chama hiki kikongwe.

  Chama hiki kimekuwa kikishabikia na kutekeleza mambo yasiyo na maslahi kwa raia wala kwa Tanzania, huku viongozi waking'ana'ania madarakani bila kuwajibika.


  1.mikataba isiyo na maslahi kwa taifa

  2.kutokuwajibika kwa viongozi wa ccm

  3.kuiba kura

  4.kutumia jeshi la polisi kama vibaraka woa

  5.viongozi kusema uongo hadharani

  6.kushindwa kudhibiti wawekezaji

  7.kutaka kutengeneza katiba mpya kisanii.

  Isitoshe hili la dowans kuuzwa wakati kuna kesi ya madai ya mabilioni ya fedha dhidi ya serikali
  Tena Ngeleja na Pinda wakasimama kushinikiza malipo bila kuchelewa.

  Rais naye akitoa kali ya mwaka kuwa hata hajawai kumsikia huyo dowansi kama vile haishi tanzania anaishi costa rika.Sasa anayeuza dowansi ni nana! tanesco, wizara ya nishati na madini , mahakama ua mmiliki wake.

  Ua dowansi ameshalipwa ndo mana maisha yanakuwa magumu kiasi hiki. Manake waandishi wa habari waliacha dowansi wakakimbilia Loliondo.
  HAYO YOYE YANAPIGILIA MISUMARI YA MWISHO KWENYE JENEZA LA CCM na CCM wakubali kuwa 2015 hawatarudi hata kwa wizi na endapo wataiba waangalie yasije yakawa yale ya Kenya 2007.
   
 2. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maandalizi ya mazish yanaendelea kufanyika
   
 3. g

  gambatoto Senior Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una point mkuu, ila tumia font colour nyingine hii inaumiza kichwa.
   
 4. Ellyson

  Ellyson JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tuwatengenezee jeneza kubwa. Tutawazika kwenye kaburi la pamoja.
   
 5. U

  UMMATI Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm tutawazika baharini ili mzimu wao wa ufisadi usije ukawasumbua wajukuu zetu miaka ijayo.
   
 6. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hahahaah CCM imewapiga mwaka jana kwenye uchaguzi leo unatabiri kifo cha CCM ina maana mlipigwa na Mgonjwa? Mkaanza oooh wamechakachua,ooooh container limeingia! Oooh tumeibiwa kura! Ooooh.... Visingizio kibao! Jipangeni nyie CDM msiikadilie CCM nyie mnasiasa za kuja watu mikutanoni wenzenu wana pita nyumba hadi nyumba!
   
 7. N

  Nanu JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  CCM ndiyo ina rejuvinate sasa. Kwa sasa Chadema inabidi iwe makini sana kwani ngoma ikilia sana karibu inapasuka. Chadema hawafanyi kazi ya kutosha ya kutengeneza wanachama na viongozi wa ngazi za shinani/vitongoji na hatimaye kijiji/mtaa.

  Bila kufanya hivyo ushindi itakuwa ni ndoto. Inabidi wajitahidi kuimarisha kuanzia kwenye serikali za mitaa. Wakiwa na serikali za mitaa hata kama CCM itachukuwa serikali kuu itakuwa ngumu sana kupenyeza sera zake.

  CCM wanalijua hili na ndiyo maana mkakati mkubwa ni kutafuta jinsi ya kuidhoofisha Chadema. Chadema wajenge chama kwenye mizizi na siyo propaganda ya misamiati ya Dowans, ufisadi, etc.

  Wamwambie mtu wa chini kabisa kama ingekuwa wao ndiyo viongozi ni kitu gani wangefanye ili wamwondoe katika hali aliyonayo ambayo CCM imeshindwa kuondoa kwa miaka 50 iliyopita. Kuhubiri mabaya ya CCM na serikali haitoshi kujenga imani ya Chadema kwa wananchi.

  Lazima watoe wazo mbadala la suluhisho la matatizo ya wananchi na wananchi watayapima wayasemayo na kutoa ridhaa yao kupitia kwenye sanduku la kura.
   
 8. k

  kibajaj Senior Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuuu siyo kama chadema wanahubiri mabaya ya ccm siki hizi kila mtu ni political analyst
   
 9. k

  kibajaj Senior Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole mkuu ila inaashiria uchungu nilionao
   
 10. The sage

  The sage Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kifo cha CCM sio utabiri ni kitu kilicho wazi kabisa na wala CCM haijapiga lolote isipokuwa wizi na uchakachuaji ambao dawa yake inapikwa. Kwa hali hii hamna pa kutokea, ni kifo tu!
   
 11. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM ByeBye:A S 103:
   
 12. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yaani hili jina ccm ni kichefuchefu nowdays .......
   
 13. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Je, umefanya utafiti...???

  hizi siyo sababu za CCM kufa...!! hata kidogo!!!!! haziiuwi CCM ya Julius na watanzania.

  fanya utafitiiii........!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ushauri Mzuri, ila ukichunguza vizuri utaona Chadema wapo sawa wanakwenda ulivyoshauri na hilo lazima liendane na kuyaanika mabaya ya ccm kwa wenye nchi, ila la kuimarisha kuanzia kwenye mitaa ni point na ndicho anachofanya Dr Slaa, ila pia nawashauri wenyeviti wa mikoa na wilaya kujenga chama na si kusubiri mbaka Dr Slaa ndio wastuke, jenga Chama kwa faida ya watoto na Wajukuu wetu.
   
 15. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Tatizo bado wanazungumzia TAA, TANU & ASP na habari za kuleta uhuru na amani. Hayo tunayajua tena kwa vitendo, wameshindwa kuondoa adui hatari kwa maendeleo ya Taifa. Kwishney ccm!
   
 16. s

  sativa saligogo Senior Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :mod:Mkuu! Kweli no longerat easy!!!! Lkn ccm ni miongoni wa vyama ambavyo ni ORTHODOX!!!!!Unaona anayofanya Putin wa Urusi baada ya kujijenga upya ??? Ktk hili cdm inabidi wasibweteke coz wakati cdm wanaandamana, wanaanzisha mavarangati na kuandaa political urest ndani ya jamii ccm.

  Wanajisafisha kwa kupanaga safu na kuimarisha matawi kuanzia vijijini, kata, wilaya,m koa hadi kwenye taasi za kijamii, fahamu kwamba wagombanao ndio wapatanao.

  ANC ilipovurugana Mbeki alitoka badala yake akaingia Zuma, upinzani unausika SA? Mukama si wa kubeza kuingia kwake akiwa KM anatekeleza ROADMAP yake aliyofanyia research.

  CDM isichekele mimba mtoto anaweza akafa kabla ya kuzaliwa, kama serkali ya CCM bado ipo madarakani lolote linaweza kutokea na CDM si chama kwanza kuwa maarufu TZ wako wapi NCCR, UDP, CUF nk.

  GIVE THEM TOOLS THEY DELIVER THE GOODS (Churchill):pound:
   
 17. s

  sativa saligogo Senior Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utawaona tu maana hawana haya kupinga hata sababu na viashirio vya ukweli,
  hawana tofauti na wafirwaji maana huwa hawana aibu wala haya,

  MKUU!!! ccm haifi inazaliwa upya!!!! Sasa kwa maandishi haya na matusi tunapoteza mantiki kabisa lengo la JF na mustakabali wake! Hili linaboa ustaarabu haunuliwi!!! Tuwe waungwana tuache jazba!!! Bila shaka huyu ni miongo mwa BOARING SQUAD!!!
  INASIKITISHA SANA KAMA MSOMI!!!
  hATA kAMA hUONEkani!!!!!
   
 18. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtaendelee kusema mnaibiwa kila uchaguzi! Jipangeni acheni kujiridhisha mapema nyie CDM kazi ifanyike kwanza na sio kuanza kujidanganya wenyewe
   
 19. melxkb

  melxkb JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaaah! Ama kweli kusoma sio kuelimika.......Hivi kweli unaweza kusema hizo sio sababu zinazoweza kukiua chama, na je unataka kife mara ngapi? Maana kimekufa tayari. Inaonekana wewe unatakakusema mtu au maiti ambayo haijazikwa bado haijafa, loo! kufikiri kwa hivyi kunatisha kama sio kukatisha tamaa. Hivi kweli haya ni mambo ya kutumia resources za nchi au mtu kupoteza mda wake na kutumia akili yake eti kufanya research kama yanaweza kuua CCM au chama chochote cha siasa au hata maendeleo ya umoja wowote. Halafu useme kwa kujitamba kwamba umefanya research unabandika na kwenye web, kichekesho hiki kama Watanzania tunafikia kutaka kufanyia research common sense matters. Mwishowe tutasema tufanye research kama kuugua kuna matatizo kiafya ama kam binadamu ana macho mawili. Ebu tujaribu basi ku-prioritize research zetu, ni nini kinahitaji research na kwa faida ipi? It must be signified. Ebu fikiria unakuwa na msomi au mtaalam kwenye wizara au sekta fulani anayeshauriri na kuelekeza resources za watu kufanya research za style hii. Watanzania wenzangu tunayo kazi ya kufanya hakika kama hizi ndo fikra tulizo nazo.


   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  CCM wakishindwa watapindua Nchi hili liko wazi . Kama huamkini ngojeeni mtaona 2015
   
Loading...